Citizen Service Delivery Charter
CITIZENS SERVICE DELIVERY CHARTER
Egerton is committed to being a World Class University for the Advancement of Humanity
Service/Good |
Requirements to obtain service |
Cost of Service/Good |
Time Line |
Information enquiry and reception desks |
Specify requests for information, officers and service |
Free |
5 minutes |
ACADEMIC DISCIPLINES |
|||
i) Agriculture ii) Arts and Social Sciences iii) Business iv) Education v) Health vi) Environment and Natural Resources vii) Engineering viii) Science ix) Law (LLB) x) Gender Studies xi) Veterinary, Medicine and Surgery |
Meet minimum University and specific National Regulatory admission requirements |
Free |
i) Diploma 3 years ii) BA/Bsc/Bcom/L.L.B - 4 years iii) Bsc Engineering - 5 years iv) BVM - 5 years v) MB.ChB - 6 years vi) Masters - 2 years vii) Ph.D - 3 years |
ADMISSION AWARD/CONFERMENT |
|||
Diploma Bachelor Master Doctor of Philosophy |
i) Certified copies of certificates/Results slips ii) Certified copies of National Identification Card or Passport iii) Passport size photographs iv) Duly completed application forms v) Minimum admission requirements ·Diploma - K.C.S.E. -C ·Bachelors - K.C.S.E C+ ·Masters - Second Class Honours (Upper Division) ·PhD. - Masters Degree |
i) Diploma - Kes.1000 ii) Bachelors/Masters/Ph.D. - Kes.2000 |
·Acknowledgement – 10 working days after receipt of application ·Notification about admission - 30 working days after receipt of application |
Teaching |
Payment of requisite fees Attendance of classes |
KUCCPS and SSP Students Tuition per academic year i) Diploma ii) Bachelors iii) Masters iv) PhD Fees structure (www.egerton.ac.ke) |
·Two semesters per academic year, each semester is 17 weeks |
Provision of Transcripts |
Completion of academic programmes |
Free |
·Provisional transcript 40 working days after the end of academic year ·Official transcripts 3 days after graduation. |
Award of Certificates |
i) Successful completion of academic programmes ii) Payment of all required fees iii) Clearance certificate |
i) Undergraduate - Kes.4,500 ii) Masters - Kes.5,500 iii) PhD - Kes.6,500 Alumni fee inclusive |
·3 working days after graduation. ·PhD. - Same day ·Provisional transcript 40 working days after the end of academic year. |
OTHER SERVICES |
|||
Accommodation Services |
i) Duly completed accommodation form ii) Payment of required accommodation fee iii) Completion of good conduct form |
Accommodation fee ranging from Kes.2,500 to Kes.6,600 per semester |
1 day |
Security Services |
i) Egerton University students, staff and other stakeholders ii) Egerton University property |
Free |
Immediate and continuous |
Catering services |
Egerton University students, staff and other stakeholders |
Charges as per menu |
Immediate |
Counseling services |
i) Egerton University students, staff and other stakeholders ii) Entry of details in Counter Book |
Free |
Time varies as per individual cases |
Medical services |
i) Egerton University Registered students, staff and community ii) Entry of details in counter book |
Payment of medical fee of Kes.2000 Alongside other fees |
30 minutes |
Recreational Services |
i) Registered students and University employees ii) Appropriate sports gear |
Free |
Continuous |
Research and Consultancy |
i) Submission of proposal ii) Availability of sponsorship |
Dependent on Research Budget |
Continuous |
Extension services |
i) Memorandum of Understanding between the University and community ii) Referral sheet |
Free |
Continuous |
Payment for works, goods and services supplied |
i) Local purchase order ii) Invoice iii) Delivery note iv) Goods Received Note |
Free |
90 working days supply |
Library/Internet Services |
Registered students and University employees |
Free |
Immediate |
Funeral Home Services |
Registered students, staff and community |
Dependent on various services offered by the Funeral Home |
Immediate and continuous |
Receipting of monies received from clients |
Bank deposit files from the bank as evidenced in the bank statement |
Free |
24 hours from receipt of bank deposit files |
Processing of imprests |
An application that meets the requirements of all the regulations governing imprest |
Free |
4 working days |
Processing and payment of teaching claims |
Claimant submits a fully approved teaching claim supported by all relevant documents |
Free |
30 days from receipt of claim |
Resolution of complaints and feedback |
Email, telephone, letters etc |
Free |
15 days |
CITIZENS SERVICE DELIVERY CHARTER (KISWAHILI)
Egerton imeazimia kuwa Chuo Kikuu cha Daraja la Kimataifa katika Kuendeleza Ubinadamu
HUDUMA |
YANAYOHITAJIKA |
ADA ya MTUMIAJI |
MUDA |
||
Uchunguzi wa habari na madawati ya mapokezi |
Kuuliza na maombi mahususi ya habari, maafisa na huduma |
Hakuna Malipo |
Dakika 5 |
||
VITENGO/VITIVO VYA AKADEMIA |
|||||
i) Kilimo ii) Sanaa na Sayansi za Jamii iii) Biashara iv) Elimu v) Afya vi) Mazingira na Maliasili vii) Uhandisi viii) Sayansi ix) Sheria x) Masomo ya Jinsia xi) Elimu ya Maradhi ya mifugo Dawa, Utabibu na Upasuaji |
Kutimiza mahitaji ya kimsingi ya Chuo na Mahitaji mahususi ya Kitaifa ya kusajiliwa |
Hakuna Malipo |
i) Stashahada Miaka 3 ii) Shahada ya kwanza katika Sanaa, Sayansi, Biashara na Uchumi, Sheria Miaka 4 iii) Shahada ya Uhandisi: Miaka 5 iv) BVM: Miaka 5 v) Udaktari na Upasuaji:Miaka 6 vi) Uzamili: Miaka 2 vii) Uzamifu: Miaka 3 |
||
KUSAJILIWA, TUZO NA KUFUZU |
|||||
Stashahada Shahada Uzamili Uzamifu |
i) Nakala za vyeti au matokeo zilizoidhinishwa ii) Nakala zilizoidhinishwa za Kitambulisho cha kitaifa au cheti cha kusafiria iii) Picha za ukubwa wa pasipoti iv) Fomu zilizojazwa kikamilifu za kujiunga v) Mahitaji ya kimsingi ya kujiunga ·Stashahada - K.C.S.E.C- ·Shahada - K.C.S.E C+ ·Uzamili –Shahada-Daraja ya Pili (Kiwango cha Juu) ·Uzamifu. -Uzamili |
i. Stashahada - KES.1000 ii. Shahada/Uzamili/Uzamifi. - KES. 2000 |
·Kukiri – Siku 10 za kikazi baada ya kupokelewa kwa ombi. ·Kufahamishwa kuhusu kusajiliwa – Siku 30 za kikazi baada ya kupokelewa kwa ombi |
||
Uhadhiri/Ufundishaji |
Malipo ya ada zinazohitajika Kuhudhuria madarasa |
Wanafunzi wa KUCCPS na SSP Karo ya mwaka wa Kielimu i) Stashahada ii) Shahada iii) Uzamili iv) Uzamifu Kwa habari zaidi: Tovuti: admissions.egerton.ac.ke/Fees structure.PDF |
·Semia mbili kila mwaka wa Kielimu. Kila semia ina majuma 17 |
||
Upeanaji wa Hati Mpito za masomo |
Kukamilisha kozi za kielimu |
Hakuna Malipo |
·Hati za Mpito- Siku 40 za kazi baada ya kukamilika kwa mwaka wa masomo/kieleimu ·Hati rasmi- Siku 3 baada ya mahafali. |
||
Tuzo la vyeti |
i) Ukamilifu wa mahitaji ya kozi mahususi ii) Malipo ya ada zote zinazohitajika iii) Kibali cha Kuondoka |
Shahada - Kes. 4,500 Uzamili - Kes. 5,500 Uzamifu - Kes. 6,500 Ada ya Ujumuishaji imejumuishwa |
·Siku 3 za kazi baada ya mahafala. ·Uzamifu- Siku iyo hiyo ·Hati za mpito Siku 40 za kazi baada ya kukamilika kwa mwaka wa masomo. |
||
HUDUMA NYINGINE |
|||||
Huduma za malazi |
i) Fomu ya maombi iliyojazwa kikamilifu ii) Malipo ya ada ya malazi inayohitajika iii) Kujaza fomu ya mwenendo mzuri |
Ada ya malazi ni kati ya KES 2,500 Hadi KES 6,600 kila semia |
Siku 1 |
||
Huduma za Usalama |
i) Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Egerton, Wafanyikazi na wadau wengine. ii) Mali ya Chuo Kikuu cha Egerton |
Hakuna malipo |
Wakati uo huo na Endelevu |
||
Huduma za Maakuli |
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Egerton, Wafanyikazi na wadau wengine. |
Ada na malipo hutegemea aina ya chakula kilichopo |
Mara moja |
||
Huduma za Ushauri Nasaha |
i) Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Egerton, Wafanyikazi na wadau wengine. ii) Kujaza habari na maelezo katika kitabu husika |
Hakuna malipo |
Muda hutegemea kisa na hali ya mtu binafsi |
||
Huduma za Matibabu |
i) Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Egerton waliosajiliwa rasmi, wafanyikazi na wanajamii ii) Kujaza habari katika kitabu cha rekodi |
Malipo ya ada ya matibabu ya Shilingi 2,000 pamoja na ada nyingine |
Dakika 30 |
||
Huduma za Michezo na Burudani |
i) Wanafunzi waliosajiliwa na wafanyikazi wa chuo ii) Mavazi ya michezo |
Hakuna malipo |
Endelevu |
||
Utafiti na Ushauri |
i) Uwasilishaji wa Pendekezo la utafiti ii) Upatikanaji wa udhamini |
Hutegemea bajeti ya utafiti |
Endelevu |
||
Huduma za Nyanjani |
i) Mkataba wa maelewano na Chuo Kikuu ii) Faili ya Rufaa |
Hakuna malipo |
Endelevu |
||
Malipo ya kazi, bidhaa na huduma zinazotolewa |
i) Agizo la ndani la ununuzi ii) Ankara iii) Ithibati ya bidhaa kufikishwa iv) Ithibati ya bidhaa kupokelewa |
Hakuna malipo |
Siku 90 za kazi baada ya huduma kupokelewa |
||
Huduma za Maktaba na Mtandao |
Wanafunzi waliosajiliwa na wafanyikazi wa chuo |
Hakuna malipo |
Wakati uo huo |
||
Huduma za Mazishi |
Wanafunzi waliosajiliwa, wafanyikazi na wanajamii |
Kutegemea huduma mbali mbali zinazotekelezwa katika chumba cha kuhifadhia maiti |
Wakati uo huo na Endelevu |
||
Uidhinishaji wa pesa zilizopokelewa kutoka kwa wateja |
Faili za amana za benki kutoka benki kama inavyothibitishwa katika taarifa ya benki |
Hakuna malipo |
Saa 24 baada ya kupokelewa kwa faili za amana kutoka benki |
||
Usindikaji na Utayarishaji wa uagizaji wa masurufu |
Maagizo ambayo yanakidhi mahitaji na kanuni zote zinazosimamia uagizaji wa masurufu. |
Hakuna malipo |
Siku 4 za kazi |
||
Usindikaji na malipo ya madai ya kuhadhiri |
Mdai anawasilisha stakabadhi za uhadhiri zilizoidhinishwa kikamilifu na ithibati kamili |
Hakuna malipo |
Siku 30 baada ya kupokea madai |
||
Utatuzi wa malalamishi na majibu |
Pepe, simu, barua n.k. |
Hakuna malipo |
Siku 15 |
Baraza la Chuo, Wasimamizi na Wafanyikazi wameazimia kutoa Huduma Bora kwa Wanafunzi, Umma na Tasnia kulingana na Kifungu cha 10 cha Katiba ya Kenya, 2010.